pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

TAARIFA MUHIMU KWA WAISLAMU WAISHIO ZANZIBAR

Katibu wa Mufti Zanzibar Sheikh Fadhil
Soraga ametoa taarifa kupitia redio ya
serikali ya Zbc. Amesema.Baraza la Maulamaa la Zanzibar linawataka misikiti yote baada yakusikia tangazo hili kuanzia sasa .Inatakiwa Misikitini
kutumia Spika kwa Adhana, kukimu na sala tu . Baada ya hapo ni Marufuku
kutumia Spika Msikitini kwa madai inaleta kelele na Usumbufu

0 comments:

Post a Comment