pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

BREAKING NEWS: JENGO LA GHOLOFA LIMEPOROMOKA LOTE MAENEO YA BARABARA YA MOROGORO MTAA WA HINDI RAGANI, POSTA JIJINI DAR ES SALAAM




 
Taarifa lizizotufikia hivi punde zinasema kuna Jengo jipya lililokuwa linajengwa 
limeporomoka na kuangukia msikiti (kama inavyoonekana pichani) asubuhi hii mwendo wa saa mbili na nusu, katikati ya jiji la Dar es Salaam, kwenye barabara ya Mororogo. Kilicho kuwa kituo cha mabasi ya Sinza zamani uko posta, mtaa wa Hindi Ragani na yapata watu 60 takribani kuwa ndani ya poromoko ilo, na pamoja walio kuwa karibu ya jengo ,wakiwemo na hawa omba omba.
TUNATOA POLE KWA NDUGU ZETU WA TANZANIA WALIOPATWA NA MAAFA HAYA

0 comments:

Post a Comment