pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA CHADEMA KINONDONI,WAKIPINGA KUZUIWA KUINGIA MJINI


Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za chadema makao makuu kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.

 Waendesha bodaboda na bajaj jijini dar mda huu wameandamana mpaka Ofisi za chadema makao makuu kinondoni ,Nia ya maandamano yao hayo ni kupinga tamko linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya kati kati ya jiji la dar.Mmoja wa madereva hao akiongea na mtandao wetu anasema kwamba wameamua kuandamana mpaka ofisi za chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada.Taarifa kamili na picha zaidi zitakujia inakujia hivi punde.HABARI NA DJ SEK BLOG

0 comments:

Post a Comment