pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

MANCHESTER CITY YAPIGWA NJE NDANI NA BARCA IKITOLEWA UEFA

Lionel Messi Barcelona Manchester City Champions League 03122014 
Mshambuliaji hatari Lionel Messi kwa mara nyingine katika uwanja wa nyumbani ndo amefungua mlango wa magoli baada ya kufunga goli safi dakika ya 66 kabla ya goli la dakika za nyongeza la mshambuliaji Dani Alves, 
 Messi huyo huyo ndo alifungua mlango wa magolikatika mechi ya kwanza iliyo chezwa Etihad nyumbani kwa Man city, 
Dakika ya 89 ya mchezo Captain wa timu Vicent Company aliifungia bao zuri timu yake akiunganisha mpira wa kichwa uliofanya mpira umalizike timu hizo zikifungana bao 2-1 na kufanya aggregate ya 4-1

 Dakika ya 78 mchezaji wa manchester city mlinzi Paul Zabaleta alioneshwa kadi nyekundu baada ya kucheza mchezo mchafu,
 Lescott, Yaya Toure, Samir Nasri na Sergio Agueroni wa chezaji pekee walionza katika game la leo katika kile kikosi kilichopoteza mchezo wa nusu fainali ya FA dhidi ya Wigan
Licha ya vijana wa Manuel Pellegrini kujitahidi kucheza kadri ya uwezo wao lakini wamelazimishwa kucheza EUROPA LEAGUE

1 comments:

  1. Anonymous11:32 PM

    Acha wapumzike tu nguvu waelekeze EPL

    ReplyDelete