pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Mwanafunzi wa miaka 15 amvamia mwalimu wake wa kike (61) na kumuu mbele ya darasa

Anne Maguire (left) 
mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 anatuhumiwa kumvamia na kumkaba mwalimu wake wa kike mwenye umri wa miaka 61 huko UK, polisi wamedhibitisha

Mwalimu Anne Maguire kutoka Spain alikimbizwa hospitalini baada ya kuwa amekabwa mda mrefu na mwanafunzi wake lakini baadae alitaarifiwa kuwa alikuwa tayari kapoteza maisha

mwanafunzi aliyefanya tukio hilo alikamatwa na walimu wake shuleni hapo kabla hawajamkabidhi mikononi mwa polisi
taarifa zinaseme kuwa wanafunzi katika daras alile walianz akukimbia ovyo baada ya mwanafunzi kumkaba mwalimu wao wakiwaacha wawili hao wakitoana roho
Mkuu wa polisi wa eneo hilo anasema kuwa alama za roba shingoni mwa mwalimu huyo zilionekana lakini pia kisu kilikamatwa eneo la tukio, mbali na mwalimu hakuna mtu mwingine aliyejeruhiwa


kutokana na uchunguzi wa kipolisi ilionekana kuwa kulikuwa na mtirirko wa matukio kati ya mwalimu na mwanafunzi wake, baadhi ya wanafunzi walisema kuwa mwanafunzi huyo alikuwa amelewa kabla ya kufany atukio hilo istoshe chupa za pombe kali zilionekana eneo la tukio

0 comments:

Post a Comment