pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Tangazo la kuitwa kazini

TANGAZO LA KUITWA KAZINI!

 nembo
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/G/14
29 Aprili, 2014
KUITWA KAZINI


Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 04

hadi 30 Machi, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili
wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa
katika tangazo hili.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya vya kazi katika
muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi
wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo kuanzia kidato
cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya
ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.
 

0 comments:

Post a Comment