pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Baba na watoto wake wawili wafa ajalini, polisi (dereva) akimbia


Familia moja imebaki katika hali ya taharuki baada ya kuondokewa na watu watatu kwa mpigo
Baba na wanae wawili wakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Fun Cargo walipata ajali mbaya baada ya tairi la mbele kupasuka

baba mwenye miaka 38 alifariki akiwa njiani kuelekea hospitali huku mwanae wa miaka 4 akifia mikononi mwa wauguzi hospitalini hapo, aidha mwanae wa kike mwenye umri wa miaka 8 alikufa papo hapo baada ya kutokea ajali,

shuhuda wanasema kuwa dereva wa gari hilo alikuwa ni afisa wa polisi amabye alikimbia mara tu baada ya gari hilo kupata ajali
wakazi ha mashuhuda wa Zimbabwe wanasema kuwa dereva huyo aliendesha gari hilo kwa mwendo kasi sana katika barbara nyembamba sana, gari hilo lilibinuka mara 4 kabla ya kusababisha maafa hayo

0 comments:

Post a Comment