pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

KUTOKA FACEBOOK: NOMA SANA HII MTU WANGU


1. MACHOPI ROHO CHAFU-
hawa ndo hukumbusha
mwalimu kama
hajapeana assignment,
kwenda kuita mwalimu
kama amechelewa class,
kumaliza homework
mapema but wanaficha
vitabu, kureport msee
amecopy, na kuandikia
class prefect
noisemakers. 





WOTE
HAWAKUANGI
SUCCESSFUL KWA LIFE
HATA WAPITE EXAM AJE.


2. MACHOPI ROHO POA-
hawa watu sijui hupita
aje exams. Wanaenda
games ama drama,
waoge, evening preps
wasome 1 hour na
kulala, morning prep
hawaendi. Hao ndo
huswag up mafunkie.
Trip zote wako kwa list.
classes zote wanalala
ama kusoma novel chini
ya meza. Wakimaliza
homework
wanadistribute kitabu
yao kwa masafara
wacopy roho safi. WENGI
HU-END UP SUCCESSFUL
AFTER SCHOOL. Mi KIP niko hii
category!!!


3. TUMTU TUFUPI- hizi
mapigmy wallahi
zilinyimwa height
zikapewa kelele. Noise.
Mchongoano za
maajabu.
Kanawezakutusi kitu
hutawasahau na hapo
mko class 3 ama 2 ivi. Ni
tufupi but hatupendi
kukaa mbele. Kila mtu
hutuchukia sana.


4. GIMTU GIMINONONO-
sema kunyamba!!!! Wah!
Hawa watu sijui kama
digestion yao hufanyiwa
on the upper part of
their anus ama! Aaih!
Mnaezatoka lunch saa ii
alafu next minute
ananymba ile ya sssss
yaani ya ingestion. Hapo
unajua githeri imepita
shuuuuuuu hadi kwa
upper part ya anus
idigestiwe. But huwa
wanakua na roho poa
sana na wengi huend up
kua OUR EMPLOYERS
AFTER SCHOOL.


5. WATOTO WA
WENYEWE- hawa ni
watoto wa masonko.
Huyu ukimpea
assignment acopy
anakulipa 20 bob.
Imagine upewe 20 bob
class 4!!!!!!!!!! Wah!
Hawa walikuanga na
servants, aka maumbwa,
wakuwafulia nguo,
kuwafanyia pano,
kuwaandikia barua za
kwenda gals schools na
hata kutek blame ya
kunyamba; yaani
akinyamba unakubali ni
wewe si yeye. WENGI
HUKUFA MAPEMA JUU YA
DRUGS.


6. WASEE WA
HANDWRITING POA-
wote wana roho safi.
Hawa ndo kila mtu
hukimbilia waandikie
barua time ya funkie.

0 comments:

Post a Comment