Mchezaji
wa zamani wa kimataifa wa England Frank Lampard amesema hajafanya
mazungumzo yeyote na Manchester city kwamba watamuongezea muda.
Lampard alifunga magoli matatu katika michezo mitatu tangu alipojiunga na man city kwa mkopo akitokea New York City.
Mkataba
wa Lampard utamalizika mwezi Januari mwakani ,lakini Kocha wa
Manchester City Manuel Pellegrini juma hili alisema kuwa Lampard anaweza
kuendelea kubaki.
0 comments:
Post a Comment