pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Jahazi Linalokisiwa kuwa na Shehena ya madawa ya Kukevya mbaroni Dar

Jeshi la Polisi kikosi cha wanamaji limekamata jahazi moja ambalo linatoka nchini Irani ambalo linadaiwa kuwa na shehena ya dawa za kulevya. Akizungumza kuhusu tukio hilo kamanda wa kikosi hicho kamanda
Mboje Kanga amesema walilikamata jahazi hilo baada ya kulitilia shaka na
ndani yake wapo watu. Kwa upande wake kamanda wa kikosi cha kuzuia na kupambana na dawa za kuleya nchini Godfrey Nzowa amesema mapambano bado yanaendelea japo zipo changamoto nyingi na kuongeza kuwa robo tatu ya vigogo wa dawa za kulevya wamekwisha kamatwa.

0 comments:

Post a Comment