Timu ya
Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwasili
kwenye Bandari ya Bukoba, walipofika kujionea bandari hiyo kongwe iliyopo
kwenye fukwe za Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Waliotangulia mbele ni Kiongozi
wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango, Bibi Florence Mwanri (Wapili kulia). Wengine ni baadhi ya wajumbe wa
msafara huo kutoka kushoto ni Bw. Omary Abdallah, Bibi Zena Hussein (Wapili
kushoto) na Bw. Julius Edward (Kulia).
Madhari
ya gati la Bandari ya Bukoba
Wajumbe
wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya
Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwa kwenye ngazi za kupandia
kwenye meli zinazotia nanga kwenye Bandari ya Bukoba.
Wajumbe
wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya
Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwa kwenye Ofisi za Bandari
ya Bukoba. Jengo la Ofisi hiyo limejengwa takriban miaka 70 iliyopita.
Sehemu
ya kupumzikia abiria ya Bandari ya Bukoba.
Wajumbe
wa Timu ya Ukaguzi wa Miradi ya
Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiwa kwenye moja ya maghala
ya kuhifadhia mizigo kwenye Bandari ya Bukoba.
PICHA NA SAIDI MKABAKULI
0 comments:
Post a Comment