Chuo cha taifa cha usafrishaji (NIT) kiko katika mwendelezo wa maadhimisho ya miaka 40 tangu kuanzishwa kwake, maadhimisho hayo yatadumu kwa kipindi cha siku tano huku siku ya sita ikimalizika kwa kufanywa mahafali ya wahitimu wa kozi katika ngazi mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2014/2015,
Katika sherehe hizo shughuli mbali mbali zinaendelea na elimu tofauti zinazidi kutolewa kwa jamii hasa wanafunzi wa chuo hicho kutoka katika mamlaka mbalimbali zinazoshiriki maonyesho chuoni hapo,
baadhi ya mamlaka zilizopo mahala hapo ni
SUMATRA ( Surface and Marine Transport Regulatory Authority),
TANROADS, (Tanzania National Roads Agency)
TMA (Tanzania Meteorology Agency) n.k
Banda la chuo cha bandari ( DMI) - Dar Maritime Institute
Baadhi ya wanafunzi wakipata elimu katika banda la Tanroads
wageni na wanafunzi wakijifunza kitu katika banda la Mamlaka ya hali ya hewa( TMA)
Mabanda ya baadhi ya makampuni alikwa katika maadhimisho ( SCANIA NA SUPERDOL)
Moja katika wanafunzi akipata maelezo ya msingi kwa utulivu kutoka kwa mkufunzi wa SUMATRA
0 comments:
Post a Comment