pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Muhimu: Fomu ya malipo ya ada kwa waliofungiwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili

Baada ya matokeo ya kidato cha pili kutangazwa, kuna baadhi ya majina ya wanafunzi ambayo yamefungiwa atokeo yake, hii ni kutokana na aidha kutokamilika kwa ada au sabau nyingine za kiufundi, 
 
Yafuatayo ni maelekezo kwa wale ambao wameandikiwa " result withheld- fee" watu wote wa aina hii wanatakiwa kujaza fomu ifuatayo ili kulipia kiasi cha ada kilichobaki na matokeo ya wanao yafunguliwe vinginevyo itamlazimu mtu kukariri darasa

mzazi, mlezi au mwanafunzi napaswa kulipa ada ya Mtihani pamoja na faini kiasi cha Sh. 20,000.00.  Malipo haya yafanyike kupitia akaunti mojawapo ya namba zifuatazo:- 
NBC – NECTA   A/C No. 011103001074
CRDB – NECTA  A/C No. 01J013540000/01J1042982300
NMB – NECTA  A/C No. 2011100238

0 comments:

Post a Comment