Baadhi ya Wananchi waliofika katika ajali hiyo wakiangalia mabaki ya
Lori hilo baada ya kupata ajali na kuwaka moto leojioni likiwa katika
safari zake za kusafirisha Mafyta nje ya Dar-es-Salaam, kupeleka mkoa wa
jirani..
Mabaki ya Lori hilo baada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii, baada ya kupata ajali katika eneo la mlima sekenke.
Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hiiBonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa
Hii ni njia ya mlima sekenke
Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke
mkoani Singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanzo cha ajali hiyo ni
breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima
huo.Shuhuda wa ajali hiyo bwana Julius Chacha alipoongea na mtandao wetu
wa Dj sek blog amesema kwamba Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na
kuingia bondeni na kushika moto.Akiendelea kuongea shuhuda huyo alisema
walishindwa kutoa msaada wowote kwa kuwa moto uliposhika ulikuwa mkubwa
na hawakuwa na vifaa vya kuokolea.Watu wanne wamekufa papo hapo kutokana
na ajali hiyo.Polisi walikuwa bado hawajafika eneoo la tukio mpaka
tunaondoka eneo la tukio.
zanzinews
0 comments:
Post a Comment