Jamaa
kutoka Cambodia amefanya kitendo cha ajabu baada ya kufukua kaburi la
binti wa Miaka 17 aliyefariki na kujaribu kufanya nae mapenzi(Huu ni
mfano wa kaburi lililo fukuliwa)
******************************
Ni
habari ya kusisimua ambapo jamaa alikuwa ameamua kufuakua kaburi la
msichana mwenye miaka 17, kwa nia ya kufanya nae mapenzi, alishikiliwa
na Polisi Baada ya kukutwa amelala juu ya Jeneza hilo huko Cambodia
imethibitishwa
Mtu
mmoja mwenye umri wa miaka 47 aliyefahamika kwa jina la Chin Chean
alikamatwa na wanakijiji baada kupatikana amefukua kabuli la binti, huku
mwili huo wa marehemu ukiwa umeachwa wazi ndani ya jeneza hilo.
Chin
Chien alilileleza Jeshi la Polisi kuwa alianza kuchimba kaburi hilo
majira ya saa nne usiku , ikiwa ni siku moja baada ya kufanyika mazishi
hayo ya binti huyo aliyekuwa na umri wa miaka 17
Jamaa huyo aliendelea kuchimba kaburi hilo hadi kufikia jeneza hilo na kufanikiwa kulifungua
Baada
ya kumaliza kufukua na kufungua jeneza hilo jamaa huyo aliiambia polisi
kwamba alifungua jeneza hilo na kutaka kufanya mapenzi na marehemu huyo
akiwa katika Jeneza, lakini kutokana na udogo na ufinyu wa nafasi wa
Jeneza hilo ilishindikana kwa yeye kufanya kitendo hicho.
Na baada ya kushindwa kufanya aliamua alale juu ya Jeneza huku likiwa wazi.
Wakizungumza
wanakijiji walidai kwamba waliona Miguu ya Bwana Chean katika kaburi
hilo mida ya saa kumi na mbili asubuhi na kuamua kuipa taarifa familia
yake , walisema polisi
"Tunashindwa
kuelewa kabisa kama huyu jamaa hapa kijijini alikuwa akimfahamu huyu
Marehemu hata kabla hajafariki na kisha kuamua kufanya kitendo hiki"
aliogea bwana Vutha
Lakini
aliongeza kwa kusema kwamba Anamfahamu Bwana Chin Chean kuwa ni Mbwia
unga na hufanya matendo ya ajabu ajabu, ambapo kuna siku alishawahi
kutembea maeneo ya Pagoda akiwa mtupu bila nguo.
"kutokana na hili jambo, tutaenda kumuhoji zaidi bwana Chean katika kituo cha Polisi cha Wilaya kabla hatujampeleka Mahakamani.
Tone
0 comments:
Post a Comment