Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.
Akizungumzia
ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao
imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu mwingine na kudai ni yeye.
“Mitandao
ya kijamii inakera sana. Kila mtu anaandika habari itakayowafanya watu
wafungue ‘blogi’ yake, siwezi kupiga picha ya utupu,” alisema Jokate.
0 comments:
Post a Comment