Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto amedai kuwa ajisikii
vizuri pindi anapo vaa viatu kutokana kudai kuvaa viatu kuna athiri
utendaji wa kazi zake.
Mpoto ameiambia bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika.
Mpoto ameiambia bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika.
“Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa
peku ,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa
sababu ya kutafuta energy ,unajua energy ya mimi kuendelea kuishi
inapatikana kwenye udongo,yani ngozi yangu inapokutana na ardhi nakuwa
so (confident) na nakuwa Mpoto, zaidi na nguvu na nakuwa na akili ,sasa
sipendi wakati mwingine kuwa fake,najitaidi sana kuwa wakisasa ila
nakuwa nasahau,kwamfano naweza nikanunu kiatu cha gharama alafu
nikakisahau kwenye ndege au kwenye basi kwasababu siyo kawaida yangu
kuvaa viatu, nisha jaribu lakini nimeshapoteza vingi,kwasababu siyo
culture yangu kuvaa viatu ,viatu navaaga kwasababu watu
wananisema.kwaiyo nikivaa ninakuwa kama inanisumbua, nikaona kama bora
niache,alafu nakuwa siko huru,ukinikuta nimevaa viatu alafu tukaanza
kufanya mazungumzo nakuwa siko huru kwasababu nakuwa nipo kama naelea
hewani,yani kama sina chaji,kwaiyo kwangu mimi ardhi ni kama plug ya
mwili wangu,nikikanyaga chini wewe niulize chochote nitakujibu niambie
niandike shairi la haina yoyote,mimi ata nikiandika nyumbani kwangu
lazima niweke miguu kwenye mchanga,ata nyumbani kwangu hakuna mchanga
mimi ninabeseni kabisa la michanga,kwajili tu yakukanyaga yani
nikiandika nakuwa confidant ata nikiandika nakuwa na amani”Alisema Mpoto
Pia Mrisho ataendelea kufafanua kwanini ataki kubadilika na kuchana na tamaduni ya kutembea mbila kuvaa viatu
“Nataka maisha yasiniendeshe mimi,mimi niyaendeshe maisha, kwasababu unajua speed ya utandawazi yani globalization ni kubwa sana kuliko speed ya mwanadamu kwa Tanzania,ukiangalia watu kama Marekani wamepata uhuru miaka mia mbili iliyopita,sisi tuna miaka mingapi tu ya uhuru na teknologia inakuja kwa kasi sana,ndiyo maana technologia inapokuta Tanzania watu wanaimasta sana,kwamfano facebook,instargam,twetter,whatsapp na mitandao mingine vimekuja kwa kasi sana na watu vimewabadilisha sana,ata Ngugi wa Thiong’o alisema huwezi kwenda kwa jirani kama ujatokea kwako,mtu kaka mimi ninapoigia kwenye technologia siwezi badilishwa kwasababu nimeshajijua mimi ni
nani”Alimalizia Mpoto

0 comments:
Post a Comment