Mwalimu mkuu wa shule ya
Nigeria ambako wasichana zaidi ya 100 walitekwa nyara Jumatatu, ameomba
wakuu wa Nigeria wafanye jitihada zaidi kuwakomboa wasichana hao.
Piya aliomba kundi linalowazuwia wasichana hao kuonesha huruma.Afisa mkuu wa elimu wa jimbo la Borno amesema wasichana 44 wameweza kuwatoroka waliowateka nyara, na 85 bado wametoweka.
bbc
Lakini wazee wanasema wasichana wengi zaidi bado wametoweka.
Askari wa usalama, makundi ya wanamgambo na jamaa wanaendelea kuwasaka wasichana hao.
0 comments:
Post a Comment