pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

HAYA NDO MATOKEO YA RUFAA CSEE 2013 AWAMU YA I

Wanafunzi mbalimbali kutoka shule tofauti za Tanzania waliofanya mtihani wao wa kidato ch anne mwaka 2013, waliomba kurudiwa upya kusahihishwa mitihani yao waliyoifanya kwa kile walichokiita kutoridhika na matokeo ya awali,
Rufaa nyingi zilizoombwa kurudiwa grade zake za masomo hazijabadilika, licha ya kuwa Tarehe ya rufaa na kubadilika kwa grade zimetofautiana kulingana na waanafunzi,
katika majina hay ya chini kuna baadhi ya majina ambayo yamebadilishwa ufaulu wa awali na yale ambayo hayajabadilika kabisa


0 comments:

Post a Comment