pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Binti asimulia anavyofanya MAPENZI na mzimu

Natasha Blasick 
 Mwanamke mmoja hivi karibuni ameelezea jinsi alivyokuwa na mahusiano ya kimapenzi na MZIMU,
 
Mwanamke huyo ameelezea kitendo chake cha kufanya mapenzi na mzimu huo zaidi ya mara moja
Pia alieleza jinsi gani penzi la mzimu huyo lilivyokuwa la kuvutia na la kumpa raha zaidi ya wanaume wote aliowahi kufanya nao mapenzi
 Natasha Blasick alikiambia kituo cha  TV  kilichokuwa kikiendeshwa na  Phillip Schofield na Christine Bleakley, kuwa ukuaji wake na kuelekea utu uzima kumemwongezea matatizo ya kimapenzi na mzimu huyo

"Nadhani mimi ni aina ya mwanake niliyepata raha ya aina yake na mzimu huyu katika mapenzi" alisema

binti huyo alisema " Siku moja nilikuwa chumbani peke yangu nimelala kitandani nikahisi kuna kitu kinaingia lakini sikukiona"

"Nilihisi kama kitu kinanipapasa na mra kitu kama kimelala kifuani mwangu. lakini mimi sikuona kitu, ila tu nilihisi mgandamizo, joto na pumzi ikinipuliza kila mahala kwenye mwili wangu" aliongeza 

"Mara ya kwanza nilichanganyikiwa na hali hii, ila baadae niliamua kutulia, kiukweli nilipendezwa sana na raha ile" alimalizia. Mzimu uliondoka bila kusema neno lolote

Blasickanasema mme wake hataki kuamini kama yeye anafanya mapenzi na mzimu akidai kwamba ule ni uongo

0 comments:

Post a Comment