pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Hizi ndo Picha za Nusu Utupu za Wema na Aunt Ezekiel zilizotibua swaumu za Waislamu waliofunga

Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.

Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu ya  warembo  hao   wakiwa watupu.

 
Wema Sepetu akikumbatiana na Meneja wake, Martin Kadinda.
Wema Sepetu akiwa na AUNTY EZEKIEL
“Huyu aliyeachia hizi picha ametutibua sana sisi tuliofunga, alilenga kutuharibia swaumu zetu, haijakaa poa sana,” ilisomeka sehemu ya maoni ya picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.
Wema Sepetu akikumbatiana na Meneja wake, Martin Kadinda.
Wema Sepetu akikumbatiana na Meneja wake, Martin Kadinda.

0 comments:

Post a Comment