Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetoa tamko rasmi na kuwataka wadau wa soka nchini Tanzania kubuni jezi za timu ya taifa Taifa Stars na atakayeweza kubuni jezi nzuri kushinda wengine atajishindia donge nono la pesa Taslim kiasi cha sh.millioni 1 shindano hilo litaanza kufanyika sasa kwaiyo ni nafasi yako mdau wa soka.
0 comments:
Post a Comment