Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbonla Mbozi mashagharibi mji wa Tunduma almaarufu kama Chadema Town mji huu upo border ya Zambia na Tanzania.nWanachadema wa mji huu wameazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe 1-11-2014 kila
mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake, Azimio hilo limeanza kazi leo hii na kama unavyoona kwenye picha hapa ni moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku huku wakiwa wamevalia sare za chadema.
0 comments:
Post a Comment