Tumekuwa
na mazoea sana kuona wanadamu tuu ndio wanajua kuogelea kwa umahili
mkubwa ...na kuona viumbe kama Samaki, Mamba na Baadhi ya wanyama kama
Mbwa, Ng'ombe ndio mahili kwa kuogelea .. Lakini hatujawahi kufikiria
kama kuna huyu mnyama anayeitwa Twiga kuwa anauwezo mkubwa wa kuogelea
pengine zaidi ya hao waliotajwa hapo juu..... Mnamo mwaka 2012, Gazeti
la mtandaoni Daily mail walimshuhudia kwa macho.. mnyama Twiga kutoka
Tanzania akiogelea kwa makini katika Swimming Pool bila kujali na mwisho
kujiondokea baada ya kula Bata ndani ya Maji hayo...
Kwa umakini mtazame Twiga huyu

Twiga huyu akipiga mbizi kwa madaha

Bila wasiwasi huku maji yakumchuruzika mnyama huyu mrefu ... akiwa anaendelea kuogelea kama kawaida

Hapa Twiga huyu amemaliza zake kuogelea

Twiga huyo mwenye urefu wa Futi 6 akiwa na miaka mitatu mwaka Jana na atakapokuwa na miaka sita atakuwa na Futi 18

Hapa amemaliza zake sasa anatoka ndani ya maji

Hapa anamalizikia anaondoka

Huyo sasa anakula zake majani ..... Kesho tena atarudi tena kula maraha.....
credit, thisdaymagazine
0 comments:
Post a Comment