April
06 ndiyo ilikua siku pekee kwa Wananchi wa Chalinze kupiga kura ya
kumchagua Mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo wa nJimbo la Chalinze,matokeo
yake yametangazwa usiku wa kuamkia April 07 na msimamizi wa kituo hicho
Mr.Samuel Sajanga,
Matokeo hayo yameonyesha Chama Cha Mapinduzi kimepata kura 28,000
ambayo ni sawa na ushindi wa asilimia 86.61,Chadema imepata kura 2,544
ambayo sawa na asilimia 10.58,Chama cha Cuf kimepata kura 476 ambayo
sawa na asilimia 1.98.
Vingine ni Chama cha Afp ambacho kimepata kura 186 ambayo ni sawa na
asilimia 0.59 na Chama cha Nra ambacho kimepata kura 60 ambayo sawa na
asilimia 0.25.
Bonyeza play kusikiliza idadi ya watu waliopiga kura na kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi huu.
0 comments:
Post a Comment