pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

HIVI NDIVYO SHOWROOM YA MAGARI ILIVYOUNGUA JIJINI DAR ES SALAAM


 Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.Magari yakiwa yameteketea kwa moto.

Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
Picha na Father Kidevu Blog

0 comments:

Post a Comment