Balozi wa Palestina nchini Tanzania ameitaka jamii ya kimataifa
kuchukua hatua za haraka na za kivitendo za kuulazimisha utawala wa
Kizayuni wa Israel ukomeshe mashambulizi yake ya kikatili katika Ukanda
wa Ghaza.
Amesema hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jana.
Mwandishi wa Radio Tehran alikuwa miongoni mwa waliohudhuria mkutano
huo wa Balozi wa Palestina nchini Tanzania na waandishi wa habari na
kutuandalia ripoti hii hapa chini.
0 comments:
Post a Comment