pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - JESHI LA POLISI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI
                                      YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA
                                                    

   
                                    TANGAZO LA USAILI

 Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha idato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili
Majina pia yapo kwenye t ovuti ya TAMISEMI www.pmoralg.go.tz 8/2014 au  fika Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa ukatazame endapo jina lako ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania oneshwa kwenye jedwali hapa chini :
   
vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka kufanya usaili kabla ya  kujiunga na
  na kwenye  gazeti la Polisi wa Mkoa /Wilaya  iliyo ukatazame endapo jina lako ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe
Muhimu: 
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo  juu ili mradi  awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitashughulikia usaili wa mtu ambaye hayupo kwenye orodha ya walioitwa kwenye usaili.  
 
(ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyote vya masomo [(Academic Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)] na nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate)]. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika. 
 
(iii)Mwombaji  awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa.. 
 
(iv) Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili ya usaili wa kuandika. 
Ni muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.  

0 comments:

Post a Comment