pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

Islamic state yaua watu 300 Iraq

wapiganaji wa Islamic State Maofisa wa serikali nchini Iraq wamesema
wapiganaji wa Islamic State wameua watu zaidibya 300 wa madhehebu ya Sunni ambao wamekuwa wakipigana na kundi hilo katikabjimbo la Anbar.
Waziri wa Iraq wa masuala ya haki za binadamubamesema kuwa miili zaidi 50 ikiwemo yabwanawake na watoto ilikutwa ikielea katikabvisima.
Hata hivyo vyanzo kutoka jamii ya Al-Bu Nimr vimeerifu kuwa kumekuwa nabmauaji kwa awamubtatu tangu alhamisi wiki iliyopita maeneo mbalimbali ya Iraq wakiwemo wale wanajitoa mhanga katika mabomu.
Mashambulizi zaidi yanatarajiwa kwa waumini wa dini ya Shia katika sherehe  za Ashura.

0 comments:

Post a Comment