pagead2.googlesyndication.com pagead2.googlesyndication.com

TAJIRI WA KIARABU ATOA DOLA MILIONI 1 KULINUNUA GARI LA ALIYEKUWA RAISI MASKINI WA URUGUAY

Katika kile ambacho hakikutarajiwa na wengi,  aliyekuwa Raisi maskini duniani wa Uruguay ukiachana na yule wa Seralioni anakaribia kuondokana na umaskini baada ya kutokewa na muujiza wa tajiri wa Kiarabu.
Aliyekuwa Rais wa Uruguay ambaye alijulikana sana kwa kutomiliki chochote ila gari lake aina ya VolksWagen mashuhuri kama Beetle huenda akawa umaskini ameupiga teke, kwani mwarabu mmoja tajiri ametoa dola milioni moja ili kulinunua gari hilo.

Gari la Rais huyo katika picha ndogo. ...

0 comments:

Post a Comment