MAMA HUYO |
Mama huyo mkazi wa United Kingdom, aliwaita polisi kuwaambia kuwa kabakwa na mwanae
hata hivyo baada ya kesi kufikishwa mahakamani mama huyo alimwambia hakimu kwamba alijua fika angebakwa na mwanae huyo baada ya kuwa amelewa sana usiku huo
Mwanae huyo amabaye sheria imekataa kutaja jina lake ameshikilia msimamo na kuktaa kufanya kitendo hiko
Kijana huyo ameudhiibitishia umma alipopanda kizimbani na kusema kwamba ni kweli mara kwa mara hulala na mama ake kitandani kwasababu ana matatizo ya kiakili
Kijana huyo ameudhiibitishia umma alipopanda kizimbani na kusema kwamba ni kweli mara kwa mara hulala na mama ake kitandani kwasababu ana matatizo ya kiakili
“Kila siku nimekuwa kama mtoto sababu ya matatizo ya mama kiakili,” alisema.
Alisema kuwa aliamua kwenda kulala na mama ake baada ya kusikia anarudi akiwa amelewa usiku sana, lakini kijana huyo aliamka na kuwwasha TV ndipo mama ake alipokurupuka usingizini na kupiga kele "Kitu gani unanifanyia mwanaharamu wewe"
Baada ya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili mwishowe jaji alitoa uamzi na kumuachia huru kijana huyo akidai hana hatia
0 comments:
Post a Comment